pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
- Thread starter
- #41
Ningekujibu ila sina uhakika kama umeacha matusi ya nguoni....sikulaumu ni matokeo ya malezi mabayaUmeandika ' Kimajungu ' sana na unaonekana una ' Uswahili ' mwingi mno tu katika Maisha yako huku ' Wivu ' ukiwa ndiyo ' Tunu ' yako Kimaisha.