Asha Baraka umevuna ulichopanda (dharau)

Asha Baraka umevuna ulichopanda (dharau)

Umeandika ' Kimajungu ' sana na unaonekana una ' Uswahili ' mwingi mno tu katika Maisha yako huku ' Wivu ' ukiwa ndiyo ' Tunu ' yako Kimaisha.
Ningekujibu ila sina uhakika kama umeacha matusi ya nguoni....sikulaumu ni matokeo ya malezi mabaya
 
Ningekujibu ila sina uhakika kama umeacha matusi ya nguoni....sikulaumu ni matokeo ya malezi mabaya

Huyo Mama unayempiga Majungu hapa ana Fedha na Vitega Uchumi vya Kumlisha Yeye na Familia yake hadi Umauti ukiwafika. Wivu Unakutesa!
 
Huyo Mama unayempiga Majungu hapa ana Fedha na Vitega Uchumi vya Kumlisha Yeye na Familia yake hadi Umauti ukiwafika. Wivu Unakutesa!
Tumedhibiti wauza unga mzee, wameuza sana unga kinondoni kwa kivuli cha bendi, amewauza sana wa stage show kwenye nchi za kiarabu kwa kigezo cha kwenda kufanya maonyesho Nje ya nchi anataka aingie kwenye siasa!!!?Kama ana hela zote hizo kwa nini akajitie aibu na kura moja 😃😃😃😃🙌🏽
 
Attachments

  • C25A578A-C616-421B-922F-71F636C445CF.jpeg
    C25A578A-C616-421B-922F-71F636C445CF.jpeg
    49.1 KB · Views: 6
Na hiyo 70,000 utakuta iliishia kwa wajumbe vikongwe ambao walimwambia hawana huduma za kifedha kwenye simu zao
 
Back
Top Bottom