GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.

View attachment 3450469
Bi Kizimkazi kaona kaharibu kimataifa, kwa hio kaona Migiro ndio wa kumsafishia nyota yake nje kwa sababu alikuwa Naibu KM UN!
amechelewa sana
 
Aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha-Rose Mtengeti Migiro amethibitishwa na CCM kuwa Katibu MKuu wa CCM akichukua nafasi ya Dkt Emmanuel Nchimbi ambeye aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa rais Samia nafasi ya urais 2025

Pia CCM imelithibitisha jina la Kenani Kihongosi ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla
Huyu jamaa hajafika hata miezi miwli tangu apewe ofisi pale Arusha .. Technically,amesharamba pesa ya uhamisho na sasa anaenda kuchukua nyingine za kuhamishwa tena😂😂
 
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.

View attachment 3450469
Migiro atakuwa KM mwanamke wa kwanza kukiongoza Chama Cha Majambazi. Sijui kama atafika 2030. Kufanya kazi na mwenyekiti kilaza ni mtihani mgumu sana!
 
Dah! Huyo maza hicho cheo wala hakimfai kabisa.

Unatokaje kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa na kukubali kuwa katibu mkuu wa CCM?

Kazi za kisiasa sioni kama zinamfaa huyo.
 
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.

View attachment 3450469
Hiki chama kwa namna kinavyofuatiliwa sana inaonekana kinapendwa na wananchi wengi sana.
 
Dah! Huyo maza hicho cheo wala hakimfai kabisa.

Unatokaje kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa na kukubali kuwa katibu mkuu wa CCM?

Kazi za kisiasa sioni kama zinamfaa huyo.
Katibu mkuu wa UN na naibu wake , wote ni mapambo tu ndio maana mataifa makubwa duniani huwa hayazingatii matamko yao.
 
Hajastafu tu, ok hii ni ya kimkakati mana cv za huyu mama ni kubwa ikiwemo kuwa katibu mkuu wa kwanza mwanamke mweusi kwenye shirika kubwa kipind kile, jamaa washa jipanga zamani sana Kuna jamaa nmemwambia Hawa ccm wamesha jipanga zamani sana kama nikuwazuia tushachelewA


Fullstop, kwishaaaa
Kurudia rudia kuteuana wao kwa wao ndiyo kujipanga?
 
Back
Top Bottom