Ndio msafi pekee aliyebaki Lumumba 😁😁😁Huyu mama anataka kuchafuka tu
Hapana wanakosea sana ila unajua Tanzania kwa sasa Haina maelewano mazuri na eu? Sasa unapo mteua huyu unajitahid kuisogeza eu karibu, huyu ni mzoefuKurudia rudia kuteuana wao kwa wao ndiyo kujipanga?
Ndio maana kila siku vijana utawasikia yani pambana uingie kwenye system ukishaingia umetoboa sasa nimeamini.Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
View attachment 3450469
Atachafuka KweliHuyu mama anataka kuchafuka tu
Alistaafu Akawa Anakula Good TimeAlikuwa wapi huyu mama? Alikuwa kimya sana baada ya kutolewa ubalozi
😁😂Kwahiyo huyo kenani alikua anachapa watu viboko akijua kuwa ni katibu mwenezi siyo
Ana 69hapana hajafikisha 80
Huyu sasa ataliwa kbs na wadudu.Ila mko wa Arusha una nini?
Mbona unabadilishiwa sana wakuu wa mikoa?
Sasa wameona wadudu wawe chini ya Makala.
Sawa......
AsanteAna 69