GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha-Rose Mtengeti Migiro amethibitishwa na CCM kuwa Katibu MKuu wa CCM akichukua nafasi ya Dkt Emmanuel Nchimbi ambeye aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa rais Samia nafasi ya urais 2025

Pia CCM imelithibitisha jina la Kenani Kihongosi ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla
Amosi anaenda wapi sasa
 
Hajastafu tu, ok hii ni ya kimkakati mana cv za huyu mama ni kubwa ikiwemo kuwa katibu mkuu wa kwanza mwanamke mweusi kwenye shirika kubwa kipind kile, jamaa washa jipanga zamani sana Kuna jamaa nmemwambia Hawa ccm wamesha jipanga zamani sana kama nikuwazuia tushachelewA


Fullstop, kwishaaaa
Hajawai kua katibu mkuu
 
Dah! Huyo maza hicho cheo wala hakimfai kabisa.

Unatokaje kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa na kukubali kuwa katibu mkuu wa CCM?

Kazi za kisiasa sioni kama zinamfaa huyo.
Si unajua CCM ni three in one—fusion of all three branches of government (Legislative, Executive, and Judiciary)?🙈
 
Back
Top Bottom