Ashakum si matusi, Haji Manara atakimbiwa na mwanamke yeyote yule. Huu ndiyo ukweli

kumbe alimtukana?
 
Kwa hali yake hata hao anaowapata saivi siyo type yake kabisa,,,anatakiwa kupata wa hali ya chini zaidi ya hao.
 
Hivi kumbe manara ni tajiri🤣🤣🤣
 
Sasa manara ana utajiri gani?
Mahusiano huvunjika kwa sababu nyingi tu,in this case it has nothing to do with ones poverty/financial status,
 
Sio tajiri bwana ana pesà za kubadilishia mboga,haji ana inferiority complex akiweza kuimudu hyo Hali ataishi na wake vzr
Halafu Sasa asinunue upendo aache mwanamke ampende mwenyewe,Naheeda alimpenda haji Kwa dhati ila ndugu wa haji hawakumpenda na Ndo maana hajwahi fungua mdomo kusem kitu anamsitiri (ule ni upendo na heshima kwake),rubyna kaolewa la kua ni maji ya jioni ,alishawahi kua ex kakaa Dubai huko kafanya ya kuyafanya kashindwa wamerudiana wanajuana tabia, rushaina Bado katoto kale ,uteam mobeto ndo umempa Jina mpk kajulikana yogo akamtia mimba kamzalisha hawajaoana,haji kampapatikia Kwa kua mrembo(na alimpenda haswaaa)ila demu hakumpenda mwamba kwanza sio hadhi yake,Bado anaweza olewa na mwanaume wa kueleweka kuliko Hajj kama tu atapata anaemtaka
Haji aache papara atulie tu na rubina wake maana alipofika hakuna mwanamke anaejielewa atakubali amuoe tayari ana doa la ndoa Tano hiyo ni kasoro kubwa Sana Kwa ke au me
 
Hapo Sasa halafu anamtukania mzazi wake kabisa,haji kuishi nae kaazi sanaa hata kama Binti alikosea hakuna mwanamke anaependa kuachwa ht miezi sita Bado ,haji ana shida na vile alivyo ndo kabisa yeye atulie tu dawa imuingie tushamjua tabia zake mbovu mbovu na ni mlevi mbwa haji akilewa mitusi km yote
 
Hizo nauli za Dubai angemkarabatia Baba Ake nyumba.
Ye anaenda kuzimia zimia nchi za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38]shenzi weeee eti anaenda kuzimia afu ye anakaaa masaki eti[emoji38][emoji125][emoji125]
 
Manara ana shule ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu mtupumzishe na heka heka, khaaaaah
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Leo huna pindi dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…