Huyo ni Waziri mzigoHuyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.
Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.
Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
Huyu si ndiye aliyekanusha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo kwamba haupo, baadaye akaja akaumbuka kwa aibu na bado Samia anamlea tu!Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.
Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.
Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
nadhani anastahili zaidi unaibu waziri not a full minister 🐒Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.
Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.
Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
Wote waongo, na wezi!Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.
Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.
Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
Mzigo mno lakini huyu ni chawa number 1wa mama kipitia nyumba ibada.....kila week anajipeleka waende wote nyumba ibada na kila sikukuu au weekend hujopeleka sana kizi city ....amepenya yujo inner circle....kila bibie akivuka na yeye yumo.....awamu yao nyumba ibada na imaanHuyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.