Ashatu Kijaji: Waziri Mwongo anaye endelea kubebwa na Serikali ya awamu ya 6

5 Nyingi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
246
Reaction score
605
Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.

Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.

Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
 
Huyo ni Waziri mzigo
 
Huyu si ndiye aliyekanusha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo kwamba haupo, baadaye akaja akaumbuka kwa aibu na bado Samia anamlea tu!
 
Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.

Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.

Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
nadhani anastahili zaidi unaibu waziri not a full minister 🐒
 
Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.

Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.

Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
Wote waongo, na wezi!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.

Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.

Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.
Mzigo mno lakini huyu ni chawa number 1wa mama kipitia nyumba ibada.....kila week anajipeleka waende wote nyumba ibada na kila sikukuu au weekend hujopeleka sana kizi city ....amepenya yujo inner circle....kila bibie akivuka na yeye yumo.....awamu yao nyumba ibada na imaan
 
Sio kila mwenye PhD ni anafaa kuwa kiongozi. Huyu mwanamama ni moja ya mawaziri mzigo kabisa. Anabebwa na jinsia yake lakini sio utendaji
 
Huyu ndio waziri mchapa kazi, hana longolongo yeye ni matokeo tu.
 
Back
Top Bottom