5 Nyingi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2023
- 246
- 605
Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.
Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani ya siku chache mpaka leo hakuna kilicho badilika na hajasema chochote.
Rais Samia watendaji waongo kama hawa ndiyo wanakuangusha, ukimya wake unafanya tuhisi kuwa wewe uko nyuma yake kwenye masakata yote.