Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Hili tukio limetokea mtaani kwetu bhana,
Kuna jamaa this week alienda kuipa taarifa familia yake kuwa anataka kuoa na kumtambulisha mwenza wake kwa familia yao, sasa wakati anaulizwa maswali na Baba yake kuhusu tabia ili wamfahamu vizuri Mkwe wao.
Jamaa akasema kuwa Binti anaetaka kumuoa amezaa na ana mtoto mmoja.
Lahaullah Walakuwata haijulikani yule mzee alilitoa wapi panga, kwani ni sekunde kadhaa tu yule mzee alimshikia panga kijana wake na kumwambia aondoke na aachane na mke wa watu.
Jamaa mpka sasaivi hajui afanye kitu gani maana anasema hata Mama yake amemkataa mpenzi wake.
ANAOMBA USHAURI.