Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AU UKAJIDANGANYA, FAMILIA NDÎO JAMBO NAMBA MOJA.
Na, Robert Heriel
Mtibeli
Najua kûna Watu husema na kuniambia "kîla Siku Unazungumzia mambo ya mahusiano na familia, mapenzi this, family that. Huna Jambo jingine?"
Kwa kweli ninayomengi ya kusema ila Moja ya Makubwa Kati ya hayo Familia ndîo Namba Moja. Maisha ni familia.
Ipo agenda potoshi mitañdaoni inayolenga kuumiza Maisha ya Watu wengi Duniani. Na wengi wamejikuta wahanga wa upotoshi huo.
Mtu asiye na familia ni Sawa na kaburi lililopo lenyewe jangwani. Úkiwa na upweke Mkubwa. Maisha hupoteza maana,
Tafuta Pesa uwezavyo lakini Kamwe usiitelekeze familia yako.
Mume, Mke na Watoto, na wajukuu na vitukuu Hakuna furaha kûbwa Kwa Mtu kama kuwa na kizazi chenye umoja, furaha na Upendo.
Lakini swali la muhimu kuliko yôte. Nitawezaje kuanzisha Familia yàngu mwenyewe ili katika hiyo nifurahie mapito yàngu Duniani?
Kwa kweli Kwa Zama hizi kuanzisha familia ni Moja ya mambo Magumu Kabisa.
Ugumu huo umewekwa kimakusudi Kabisa na Kwa hila ili kuyaangamiza Maisha ya waliowengi
Fikiria unaanzisha familia Kwa dhamiri Njema lakini mwisho wa Siku Mkeo anakuja kukugeukia dakika za lalasalama àmbapo unahitaji utulivu na kufurahia muda mdogo wa uzee uliobakiwa nao
Fikiria wewe NI Binti àmbaye dhamiri yako na Ndoto yako NI kuishi Maisha mazuri na changamoto na Mumeo lakini katikati Mumeo baàda ya mafanikio anakugeuka n kutaka Kuoa Wanawake Wengine Huku akitaka uondoke pasipo chochote
Fikiria upo na Watoto ambao umewalea na kuwakuza kwa Miaka nenda rudi lakini mwisho wa Siku unagundua siô Watoto wako.
Inaumiza Sana.
Hii inamaanisha nini lakini? Umakini wa lazima NI muhimu katika kuunda Familia na kuyapa Maisha maana.
Kumjua Mungu wa kwèli ni Moja ya sababu ya kutegemewa katika mchakato WA kuunda Familia.
Mambo ya kuzingatia Wakati unaunda familia;
1. Usiunde familia na Mtu mbinafsi.
Anayetaka yeye zaidi. Sijui wewe umpe Pesa tuu Wakati yeye yake hata shingmia inamtoa Kamasi, inamuuma na hataki huyo usiunde naye familia.
MTU àmbaye anafikiri kuwa jinsia Yake inaupendeleo WA kufanya uhalifu na kutokukujali, mfano anataka yeye ndîo awe ana-cheat na anasingizia yeye ni Mwanaume.
Mtu àmbaye anatanguliza familia yake(alipotoka) huku ya kwèñu akiiona siô kitu. Huyo NI mbinafsi na Hakuna familia Hapo.
2. KAZI
Lazima Watu wôte wawe wazalishaji Mali
Familia inaundwa na Upendo lakini inaendeshwa na kipato.
Lazima ujue uwezo, ujuzi, maarifa n vipaji vya mwenza wako ili viweze kutumika kuendesha familia.
KAZI hizô ziwe n Sifa zifuatazo;
I) Zisiguse Kwa namna Basi hatma na MALENGO ya familia Yenu
b) Zisiathiri Afya ya mmoja wa wanafamilia
c) Mwanamke afanye Kazi ambazo hazitaondoa utukufu na thamani yake na Mwanaume Afanye Kazi zitakazolinda utukufu na heshima yake.
d) Muda wa Kazi usiathiri Malengo ya familia.
Mapato yanayotokana na Kazi yawe wazi Kwa kîla Mtu ndàni ya Familia. Yàani Mke na Mume mapato Yao sharti yawe wazi, yajulikane. Upangaji bajeti WA fedha uzingatie, matumizi ya muhimu ya familia, matumizi binafsi ya Mke na Mume Kulingana na majukumu, hadhi, Kazi husika, Wakati n.k., akiba na pesa ya maendeleo na uwekezaji.
3. Akili, Elimu, ujuzi, na maarifa.
Unapounda familia ni muhimu kujua mwenza unayemtaka awe na Àkili ya kiwango gàni, Elimu Ipi, ufahamu na maarifa ya namna gàni.
Hoja hii NI muhimu ya kuzingatia kama unandoto ya kuunda familia.
Migogoro mingi ya familia chanzo chake huwa ni ubinafsi lakini sababu ñyiñgine NI utofauti WA kifikra Baina ya wenza.
Wewe unawaza hivi mwenzako anawaza vile. Hii hupelekea kuanguka Kwa sababu Ndoto na maono ya Mtu hutegemeana zaidi na Àkili na kile akipendacho.
4. IMANI na DINI
Watu weñye Imani zinazofanana ni rahisi kuunda familia yeye muelekeo mmoja. Watu wanaweza kuwa wa Dini moja lakini wasiwe na Imani Moja. Mfano, Watu wanaweza kuwa wôte ni Waislam lakini mmoja Imani yake haimtumi kuwa kujistiri n kuvaa mavazi yenye stara ni muhimu Wakati mwingine akawa anaamini kujistiri NI muhimu.
Hapa tutasoma, mmoja Dini yake ni muislam lakini Hana Imani ya kiislam Wakati mwingine Dini yake ni Uislam na Imani yake ya kiislam.
Imani ni matendo yanayojirudia rudia.
Huwezi kujenga familia na Mtu mliyetofautiana Imani.
Watu wanaweza kuwa Dini tofauti lakini wakawa na Imani zinazofanana.
5. Maumbile na Umri
Kwèñye familia maumbile ni muhimu. Hii hupelekea kuwa familia haswa. Ninashauri na nivizuri unapotafuta mwenza utafute àmbaye mnafanana au mnakaribiana kimaumbile.
Watu ambao hawafanani kimaumbile mara nyingi hushindwa kuunda familia yenye furaha. Kiburi na kutokujivunia huweza kuibuka ndàni ya familia.
Maumbile ya vipimo vya Mwili, mwonekano WA Sura, Kimo, rangi n.k.
Ukizingatia maumbile ya Mwili hakuna msamiati Kibamia, Bwawa au shimo la Olduvai, sijui Andunje au Tolu n.k. na hapo ile hoja ya kusema kila kitu kilichoumbwa ni chema sana inaleta maana kwa maana kuwa kila kitu kipo sehemu yake.
Lakini mfupi akioa mrefu ndîo yale ya kuona aibu kutembea na Mtu mbele za Watu.
Au mwenye Kibamia kumuoa mwenye Bwawa huleta utata na machafuko.
Siô HAKI kuchukua mwenza àmbaye hufanani naye. Unamdhulumu na unajidhulumu. Utamfanya Afanye dhambi au akubali kuishi Maisha ya mateso kama atakuwa mwaminifu.
Uaminifu siô kuvumilia mateso ya dhulma. Uaminifu ni kutenda Haki na kukubali Haki.
Unaoa Binti mdogo umemzidi Miaka 15 au 20 alafu unategemea umefanya Haki, hiyo siô Haki Kwa sababu ninyi hamfanani, ninyi siô familia Moja. Ninyi mpo tofauti. Gap ni kûbwa Sana.
NI lazima mtofautiane mitazamo na vipaombele mkiwa na gap kûbwa kiumri. Hiyo itafanya Mmoja amdhulumu Mwingine Kwa kile kiitwacho uvumilivu Wakati NI dhulma.
Mfano, Mtu unamiaka 55 unaoa Binti wa Miaka 20. NI hakika unamdhulumu na kujidhulumu Haki zako.
Mwenzako anawaza kwenda Disco wewe utamzuia, haya tufanye umeenda naye utamfanya aone aibu kuwa na Mtu mzima ingawaje atajitoa kimasomaso Kwa kujifanya hajali.
Kwèñye 6*6 itakupasa ufanye jitihada na NI hakika hutoweza kumtosheleza.
NI aibu Kwa mtu asiye wa Umri wako na mwenye gap kûbwa la kiumri kuona Mwili na uchi wako. Binti wa Miaka 20 siô Haki kuona nywele zako za mvi. Ni mambo Mabaya na machafu kuyafikiria achilia mbali kuyafanya.
Siô Haki kijana mdogo uliyemzidi Miaka kuanzia Kumi Kulala naye. NI aibu kûbwa. Úkiwa kama Mwanamke mwenye staha na heshima lazima úwe na Mipaka.
Ni Vizuri tofauti ya kiumri Kwa wenza íwe Kati ya Miaka 0-5 ikizidi Sana Miaka 7, ukiwa mkaidi miaka 10 kwa pande zote Mbili yàani Mwanamke au Mwanaume.
Nawatakia Siku Njema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam