Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Sure,
"I have spent all my life not to be careless,Women and Children can be careless,not Men
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure,
Hapo mwisho anaanza kupangia watu maisha.Sikupingi, ila nataka niseme tu furaha ni fumbo kubwa sana lenye utata
Sio kila mtu anaamini atapata furaha kwenye familia, ni suala mtambuka sana
na wapo wenye familia lakini furaha hawapati
*hapo mwishoni unavyohubiri kuhusu tofauti ya umri wa me na ke mbona kama umejisahau umeanza kuhubiri kisabato😆
Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.Hapo mwisho anaanza kupangia watu
Sikupingi, ila nataka niseme tu furaha ni fumbo kubwa sana lenye utata
Sio kila mtu anaamini atapata furaha kwenye familia, ni suala mtambuka sana
na wapo wenye familia lakini furaha hawapati
*hapo mwishoni unavyohubiri kuhusu tofauti ya umri wa me na ke mbona kama umejisahau umeanza kuhubiri kisabato😆
. 😀😀Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.
Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062428
SahihiNasema hivi Nikifa MkeWangu Asiolewe