Asije akakudanganya Mtu au ukajidanganya, familia ndîo Jambo namba moja

Tunapoenda ni kubaya sana mkuu. Dunia inazidi kuwa mbaya na wazazi tunazidi kuwa busy. Swali la kujiuliza, ukae na mtoto maisha yawatese au ufanye kazi huku unamuombea

😀😀

Hapo lazima ukubali kupoteza Kimoja
 
Familia ni TAASISI

Ni tasisi ya misingi na muhimu kuliko zote, ni ya kale (Mwanzo)

Uimara/Uthabiti wa taasisi ya familia ndio unao determine Taifa.
 
Jambo namba moja unatakiwa liwe wewe mwenyewe kwanza kabla mengine ndo yafuate
 
wazazi wako kunakitu umewabadirishia kwenye life baada ya kukuzaa au unangenga tuu hapa?
 
Ukiwa na familia halafu uongezee juu na kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein A.S yani usipime. Yani familia inapata Tawfiq za kutosha.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet.
 
" A man who doesn't spend time with his family can never be a real man.” -Don Vito Corleone
 
Niliwahi kupata changamoto enzi za Mwendazake...... ndani ya mwaka mmoja nikibaki na ndugu zangu tu
Walisimama na mimi hadi mwisho

Nikajifunza msemo mmoja maarufu sana kwamba
KWENYE RAHA ZAKO WATAKUJA UNAOWAPENDA KWENYE MATATIZO YAKO WATAKUJA WANAOKUPENDA
 
Wife alikukimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…