Asije akakudanganya Mtu au ukajidanganya, familia ndîo Jambo namba moja

Hapo mwisho anaanza kupangia watu maisha.
 
Hapo mwisho anaanza kupangia watu
Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.

Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

 

Hapo mahubiri ya kisabato nikajikuta ninacheka
 
. 😀😀

Imam kama Imam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…