Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

Nakusaidia ushahidi

Your browser is not able to display this video.
 
nimecheka kweli. yote uliyosema ni kweli kabisa
 
Ni Kweli kabisa yani sisi ni waajabu sana
Yani mwanamke anaona ufahari kumsema mwanamke mwenzie
Kumzodoa,kumtolea sirizakeNa aibu zake hata mbele ya wanaume

Ukipata ela kidogo majungu Yani anaona Bora apate mwanaume kuliko wewe
Ni mengi ila Mungu atusaidie
 
So mkuu hamuwezi kukaa pamoja nyie urafiki wenu ni kwa ajili ya umbea tu.
 
Duuh.. sasa tukipata watoto wa kike tutawaleaje?
 

Tatizo lenu mnaoneana Wivu.
Hamtaki mshindwe na Wanawake wenzenu.

Mbaya zaidi wanaofanikiwa haohao wanawadharau Wanawake wenzao. Hii Wanawake ndio wanaona kabisa huyu akinizidi ataniletea dharau na atataka nijisisalimishe kwake. Hapo ndipo utata unakuja
 
Itakua kweli maana mm sipendi mashoga zaidi ya ndugu zangu bac tena niliozaliwa nao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ