Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

Kweli kabisa hii at mm nawez prove kwa experience yangu na wanawake
 
Ni kweli,Niliwahi kufanya kazi taasisi fulani wakaajiriwa mabinti wawili ndio wamemaliza chuo wakaletwa pale,Wakapata nyumba mmoja wakawa wanaishi,haikupita miezi miwili vurugu zikaanza,kuna siku wamepigana mpaka kupelekana polisi,baada ya hapo wakatengana kila mtu akaishi kivyake nyumba tofauti.

Baada ya muda wakaletwa tena mabinti wawili wapya kwahio mle ofisini wakawa wanne,ilikuwa ni shida.

Ukikaa na na huyu labda mnakunywa chai akapita mwenzake utasiki 'huyu nae simpendi kama nini' ukiuliza vipi kwani hujibiwi anaishia kubinu mdomo tu.

Haya ukikaa kupiga stori mbili tatu na huyu,ikatokea mwingine akawa anashida na wewe halafu ukachelewa kuitika aisee utaitwa sauti ya juu kama mtu anakufokea hivi,yaani ni vurugu tupu

Yule Boss wetu alipata shida sana,kesi za kila mara.
 
Na wewe unaamini hii logic Kiko

Kuna baadhi ya mambo ni kweli ,kuna clip moja ya comedy niliiona leo ,mtu na mpenzi wake walikuwa wanaangalia movie sasa Demu akaanza kumsifia sterling kwamba ana body zuri mrefu na jamaa yake akawa anamsupport tu sasa ikaja sehemu akatokea Demu wa sterling naye Jamaa akaanza kumsifia Demu wa sterling ,Daaa kifuatacho ITV mwanamke akachukia kwanini bwana wake anamsifia Demu wa sterling....... 😀 😀 😀 😀
 
Mkuu umemaliza kila kitu, kuna mwanamke nilikuwa namtokeaga akawa ananikatalia katakata eti anampenzi wake mimi nikakausha sasa siku amemsikia wife amekuja kunitembelea akanipigia simu kuhakikisha kama ni kweli nikamjibu ndio wife kaja akasema basi nakuja kumsalimia wifi yangu nikamwambia njoo alipofika akaanza kunitext kwa sms kuwa anajisikia wivu nikasema makubwa haya yamekuwa hayo. Jioni yake ananiita kwake tukaongee.
 
Kuna baadhi ya mambo ni kweli ,kuna clip moja ya comedy niliiona leo ,mtu na mpenzi wake walikuwa wanaangalia movie sasa Demu akaanza kumsifia sterling kwamba ana body zuri mrefu na jamaa yake akawa anamsupport tu sasa ikaja sehemu akatokea Demu wa sterling naye Jamaa akaanza kumsifia Demu wa sterling ,Daaa kifuatacho ITV mwanamke akachukia kwanini bwana wake anamsifia Demu wa sterling....... 😀 😀 😀 😀
Mwamba mchoma mkaa wa minjingu siyo wanawake tu ikija hili swala la kusifia. Hata sisis midume demu wako amsifie dumw lingine patachimbika. Hadi leo namchukia Keanu Reeves wa movie ya Matrix. Demu wangu flani alikuwaga anamsifiaga sana. Hata movie yake mpya ya Jojn wick naichukia.
 
Ila sisi hatupanic na tunaumia ndani kwa ndani ila mwanamke hawezi kuvumilia lazima aonyeshe amechukia waziwazi.
 
Wanawake wenzangu sijawahi kuwaamini, bora nimpe pesa aniangalizie, sio mume wangu!!

Siwezi kumkabidhi mtoto ambaye nimekabidhiwa na mama yake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tibaijuka na Migiro
Roho imewauma Sana Samia kuwapita Hadi kuingia Ikulu...
Mama wa mboga yeye alipata akafocus kwenye mboga akaacha mengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na huo ndioo ukweli wenyeweee...Aisee ni vitaaa...muonekano+mavazi+unadhifuu utachukiwaaa tuu
Yani kuna mdada alinihudumia Kama hataki kisa nimependeza, namuita Kama hanisikii🤣🤣🤣 afu kimkoba chenyewe nilichovaa ni cha elfu 30 tu kariakoo🤣🤣🤣
 
Mfano chuoni hawawezi kukaa gheto moja wakatoboa semister zote. Sita miaka mitatu .

Wanawake hawana upendo ,utu na umoja

Mtoa Mada yupo sahihi.
Umenikumbusha mbali, first year first semester nilibalaswa na aliyenibeba🤣🤣
Kila mwaka nilikuwa naishi room mpya na watu waoga🤣
 
Back
Top Bottom