Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

Yani kuna mdada alinihudumia Kama hataki kisa nimependeza, namuita Kama hanisikii🤣🤣🤣 afu kimkoba chenyewe nilichovaa ni cha elfu 30 tu kariakoo🤣🤣🤣
Umeonaaa wanawake sijuii tuna shida gani...Mimi nikijuaaa unaumizwaa na Mimi hasa eneo la kazii nitakufanyaa ujutieee😅😅😅yaan nakuwaaa sipoi Wala siboi utajua ujuiiii😅😅😅
 

Hatari Sana.
 
Ni kweli wanawake asilimia kubwa wanatatizo na mwanamke wa hivyo ni mjinga na nadra sana kuendelea.Ndio maana wanaume wanapiga hatua katika sekta nyingi za kimaisha mfn elimu,biashara mipango nk.Wanawake ukute wanashauriana mambo muhim hamna ni kukaa kwa kushindana.Wao wavae wapendeze,watoke out,waingie page za udaku bas mikakati ya kimaisha 0,mawazo ya kimaendeleo 0, kutafuta fursa/nafsi 0
 
Wanawake wengi wanafeli sana unakuta mtu ameajiriwa kilichompeleka ni kazi ila yeye lake ni nani anapendeza zaidi,nani ana simu ghali nk so what?na itakusaidia nini?Wakati huo wenzake wapo huko wanachukua masters, phd,wanatafuta fursa za biashara lenyew lipo tu ofisin kuangalia nani zaidi jinga!Na hapa ndio inabidi tukubali wanawake wengi hawaweki akili kwenye mambo ya muhimu bali ya kijinga
 
Poleni sana
 
Nina tabia hata nikienda mahala napenda kuhudumiwa na jinsia Me [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…