Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]jino kwa jino
 
Hapo ndipo mnapokwama.
H
 
Maandishi mengi kama jambo jipya duniani... Huitaji elimu kuelezea bana... 😁😁Yaani hii ni Sawa na mwaname asivyomuamini mwanaume mwingine na mkewe... Au pale akiona dume karibu na mkewe au mpenzi we utajitahidi kuonyesha mbwembe ili uonekane bora kuliko mwingine🤣🤣
 
Ila wanawake Wana vituko sana 🤣🤣
 
Kweli dunia uwanja wa fujo.Ivi kweli hujaona point yoyote kwenye bandiko la mshikaji??[emoji848]
 
Mfano chuoni hawawezi kukaa gheto moja wakatoboa semister zote. Sita miaka mitatu .

Wanawake hawana upendo ,utu na umoja


Mtoa Mada yupo sahihi.
Ni kweli kabisa... Lazima mmoja ajifanye chizi bosheni..
Me nimeishi na dada mmoja hivi semester 6 zote lkn zilikuwa za moto na niliweza kwasababu nilikuwa simfuatilii kwa lolote lile hata nikute kavaa nguo zangu nilikuwa sijali lkn mm vyake sigusi hata kwa bahati mbaya...

Na toka nimalize masomo sijawahi kumtafuta hata kwa bahati mbaya, yani nampita mpaka kwenye status za WhatsApp siview na nikiview sicomment chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…