Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii kitakutafuta na kukufuata!
Sasa! Unataka nini? Wanawake/Wanaume/kuoa/kuolewa/nyumba/magari/vyeo/heshima/ maisha marefu, nk, vyote anavyo huyu bwana pesa! Sasa huyu bwana pesa alivyo na nguvu pia unahitaji nguvu kubwa kuliko yeye ili kummudu na kumdhibiti maana nguvu zake zinaua pia! Wengi wamekufa kwa kupata hela wakakosa maarifa ya kumudu hiyo hela! Leo nilienda sehemu hawanijui nikakaa nikiwa bize na simu! Hakuna aliyenisemesha zaidi ya "tukusaidie nini?", nikajibu "subiri kwanza". Nimekaa zangu nikaona wanainamisha viti kwenye meza ambavyo vilikuwa havina watu! Nilivyoona hivyo nikaondoka nikaenda kukaa jirani na pale nikaagiza chakula na kinywaji nikaanza kunyonya! Nimekaa pale muda saana mpaka jioni nafuatwa na yule mdada wa mahali pa kwanza "samahani kama tulikuudhi". Nikamjibu "haina shida".