MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Hii gari ni nzuri ina space kubwa na ina nguvu ya kutosha, nimetoka nayo mwadui hadi mkuranga direct sijasimama sehem kutoza engineMadalali wanakwambia chumba na sebule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii gari ni nzuri ina space kubwa na ina nguvu ya kutosha, nimetoka nayo mwadui hadi mkuranga direct sijasimama sehem kutoza engineMadalali wanakwambia chumba na sebule
Premio,Ist,Sienta,Porte,Alex,Allion,Funcargo,Probox,Raum na Runx wote hawa wanashare engine moja ya 1NZ (1.5L)Premio anakupa zaidi ya 12km/l bila shaka. Ni zaidi ya 12km/l
Hebu usifananishe Crown na vitu vya ajabu ajabu!Premio ni Crown iliosinzia.
Gari yenyewe Premio? Ujinga mwingiHii inaitwa..."First Car Fever"
Ball joints zikishaanza kulia lia na vitu vingine, utaliona lakawaida sana..
Sienta Ni bajaj iliyochangamkaKwangu mimi sienta naielewa sana
Mkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.
Premio lita 1=12km
So lita 16x12=192km
So anafika bila shida kabisa
Ndio kitu gani hiki?Distance from Dar es Salaam to Morogoro
Distance between Dar es Salaam and Morogoro is 178 kilometers (110 miles).
Driving distance from Dar es Salaam to Morogoro is 194 kilometers (120 miles).
Distance from Dar es Salaam to Morogoro
Distance between Dar es Salaam and Morogoro is 178 kilometers (110 miles) in Tanzania. Also calculate the driving distance and how far is it the travel time.www.distancecalculator.net
Sijaweka kukukosoa mbona ni kama umepanic, nimeweka kwa faida ya wengine wasiojua exact distance ya Moro to DarNdio kitu gani hiki?
Unajua maana ya neno WASTANI?
analeta masihara huyo boyaHebu usifananishe Crown na vitu vya ajabu ajabu!
Una maanisha nini..?Sienta Ni bajaj iliyochangamka
Kama showroom ni kawaida na hata akiagiza itafika Kwa 14.9 Hadi 15mKwa bahati mbaya umeleta stori kwa watu wasio na magari alafu wanajidai kila mmoja anamiliki gari
Japo bei ulipigwa 16M ni parefu sana umepigwa kama 4M
Kwani gari gani ukiendesha lazima uzimame kupooza engine?Hii gari ni nzuri ina space kubwa na ina nguvu ya kutosha, nimetoka nayo mwadui hadi mkuranga direct sijasimama sehem kutoza engine
4M? ushawahi kumuona mtu kanunua hiyo gar kwa 12M hivi karibuni?Kwa bahati mbaya umeleta stori kwa watu wasio na magari alafu wanajidai kila mmoja anamiliki gari
Japo bei ulipigwa 16M ni parefu sana umepigwa kama 4M
Siyo kuona ndo kitu nacho fanya4M? ushawahi kumuona mtu kanunua hiyo gar kwa 12M hivi karibuni?
Hongera mkuuHabari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M.
Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye Cc 1490.
Kiukweli naejoy sana hiki chuma, comforatbility ya kutosha, muonekano mzuri na isitoshe mafuta ndo hakuna stress. Niliweka mafuta ya 50 kutoka Dar mpaka Moro na bado yakabaki.
Kwa wewe unayetafuta gari ya kuanzia maisha achana na hizo passo sijui vitz vuta premio utakuja nishukuru badae.
Asikwambie mtu, Premio tamu wakuu.
Sijakataa...hata ukilitunza..kuna parts lazima ziishe na ulazimike kuweka mpya ..akishaanza hatua hiyo, ataliona la kawaida sana...Gari ni matunzo! Na uendeshaji wako pia. Iko Namba C ila ukiiendesha utasema mpya.
Kuna hizi za cc 1990 na zenyewe zikoje?Premio 1L inaenda 16km kwa highway. Ninayo mwaka wa 8 huu sasa. Anachosema ni kweli
Ziko vizuri sana. Kuliko kununua ile ndogo bora ya 1990cc. Ulaji wa mafuta sijaona tofauti yake. Engine kubwa ni nyepesi zaidi kwene mwendo.Kuna hizi za cc 1990 na zenyewe zikoje?