sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ila inaweza kureta kesi nyingine, wajitahidi kufanya ili kufuta makosa ghafra unaambiwa "hii staili ndio urikua unafanya na huyo mpuuzi wako huko we!"?Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam.
Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo.
Yani hapo.....
Hebu tiririkeni
Kisiki cha mpingo mambo?πππHongera kwa kusamehewa na kupewa tendo.
Mitano tenaKwa sisi ambao hatuna? Tusemaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kisiki cha mpingo jamani.Kisiki cha mpingo mambo?[emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee!! Na baada ya hapo mnajiona kama wapya kwani penzi linakuwa limerudi upya.