sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam.
Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo.
Yani hapo.....
Hebu tiririkeni
Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo.
Yani hapo.....
Hebu tiririkeni