Asikwambie mtu, tendo baada ya kumsamehe au kusamehewa na mpenzi wako baada ya ugomvi huwa linakuwa na hisia kali sana

Asikwambie mtu, tendo baada ya kumsamehe au kusamehewa na mpenzi wako baada ya ugomvi huwa linakuwa na hisia kali sana

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam.

Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo.

Yani hapo.....

Hebu tiririkeni
 
Ila inaweza kureta kesi nyingine, wajitahidi kufanya ili kufuta makosa ghafra unaambiwa "hii staili ndio urikua unafanya na huyo mpuuzi wako huko we!"?
 
Hahaa.nakumbuka nilikuwaga na kamanzi kangu flani.kuna siku kalikuja gheto sasa kwenye stor stor tukapishana lugha,nikatembeza makofi mawili matatu.then ukaanza utaratibu wa kumtuliza na alipoelewa somo tukamaliza na game.ebhana wee!
 
Kwa sisi ambao hatuna? Tusemaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Mimi ikishatokea kutokuwa na Imani basi mwili wangu unagoma Kabsa hata mtoto wa kike anipe maneuver zipi!!! [emoji16]
 
Aisee!! Na baada ya hapo mnajiona kama wapya kwani penzi linakuwa limerudi upya.
 
Back
Top Bottom