Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM

CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga mkono CHADEMA moja kwa moja na kwa nguvu kubwa Sana

Baadhi ya wana CCM wengine wakiwa ni promonent figures bila kuogopa kutekwa wala kuitwa kwenye kamati za nidhamu wameamua kutoa ya moyoni..

Je huu ndio mwanzo wa mwisho wa CCM?

IMG-20250513-WA0043.jpg
 
Kwa mikutano ya CHADEMA kuanzia KUSINI NA KANDA YA ZIWA INAHITAJI TAFAKARI KWA CCM kwa kuendelea kumwacha gerezani Lisu/issue ya Mdude/Kitima hailipi sana. Dr Nchimbi take lead on this issue. Mimi mwana CCM inanipa ukakasi
 
Kwahio hivi ni vita vya CCM na CHADEMA ?

Na sio vita vya raia wa Tanzania ambao no matter wana mlengo gani wa kisiasa inabidi waishi kwa haki na amani katika nchi yao ?

Hizi politicanization ya issues hata zinazogusa kila mmoja ndio zinasababisha watu wengine waache kuzikemea (Divide and Rule); Kwamba wasio na Vyama au ACT, CUF n.k. hawahusiki ? Au kila mwana CCM na yeye ni mbaya na kila Mwanachadema ni Mzuri ?
 
Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM

CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga mkono CHADEMA moja kwa moja na kwa nguvu kubwa Sana

Baadhi ya wana CCM wengine wakiwa ni promonent figures bila kuogopa kutekwa wala kuitwa kwenye kamati za nidhamu wameamua kutoa ya moyoni..

Je huu ndio mwanzo wa mwisho wa CCM?

View attachment 3333585
hii script ni yako mwenyewe director mkuu wa propaganda Mshana Jr au kuna mtu alikupokea kidogo? :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom