Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM
CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga mkono CHADEMA moja kwa moja na kwa nguvu kubwa Sana
Baadhi ya wana CCM wengine wakiwa ni promonent figures bila kuogopa kutekwa wala kuitwa kwenye kamati za nidhamu wameamua kutoa ya moyoni..
Je huu ndio mwanzo wa mwisho wa CCM?
View attachment 3333585