Kuna debate kubwa huku kitaa inafanywa na wana CCMSi kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM
CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga mkono CHADEMA moja kwa moja na kwa nguvu kubwa Sana
Baadhi ya wana CCM wengine wakiwa ni promonent figures bila kuogopa kutekwa wala kuitwa kwenye kamati za nidhamu wameamua kutoa ya moyoni..
Je huu ndio mwanzo wa mwisho wa CCM?
View attachment 3333585
Namkubali sana Luhanga Mpina
Mkuu kwa hivi sasa kuna kundi kubwa ndani ya CCM wako design ya Mpina ila hawajionyeshi kwa kuhofia usalama wao, kwa hiyo kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki kabisa kuna uwezekano mkubwa rangi zikavurugikaLuhaga Mpina kwa kuwa mkweli na muwazi namna hii ni bora ukajiengua kutoka CCM, kwa sababu huko hawataki kabisa kuona Mtu yoyote yule ambaye ana huo utamaduni wa kuwa mkweli na muwazi. Ili uwe salama ndani ya CCM basi itakulazimu kuwa Mtu Mnafiki mkubwa sana.
Mpina mjanja sana, anatumia akili ndogo tu kuwawin nyumbu 🤣🤣🤣
Mfanye awe baba watt wakoNamkubali sana Luhanga Mpina
Unagongwa nyuma mpumbavu weweMfanye awe baba watt wako