Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Sawa kabisa Mkuu! vinahusiana na hayo madude.....hizo shells zilitumika kutengeneza shanga za miguuni, kiunoni na shingoni kwaajili ya kucheza ngoma za asili.Au itakuwa ni shells ya samaki wa ziwani?
Mkuu Wairaq sidhani kama ni wabantu wenzetu[Mimi siyo mbaguzi] wao pamoja na jamii mbalimbali za wafugaji wana asili tofauti na ya watu wengine.Sea breeze= Chibirizi (Kigoma)
Ila samahani mleta mada kuna majina huku Manyara yanaishia na consonant sijui chanzo chake mf. Katesh, Hanang, Endabash, Endasaq,
Ziginali - Ifakara inatokana na signal ya reli
Aisee, haya majina noma sana....hii lugha kwakweli ilitia nanga kwa meli.Ziginali maeneo ya ifakara Original yake ni neno SIGNAL alama iliyokuwa ina maanisha Railway crossing
Wambunga hatupendagi ujinga[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ziginali maeneo ya ifakara Original yake ni neno SIGNAL alama iliyokuwa ina maanisha Railway crossing
KAWE- Cow way ... Ilikuwa ni njia ya kupitishia ng'ombe waliokuwa wanapelekwa machinjion
skuli - zanzibar limetokana na schoolSchule siyo neno la Kingereza.
nilivo sikia ni kwamba apo simu 2000 kulikuwa na wizi mkubwa wa simu na ilibiwa kwa muda huo na kuuzwa muda huo kwa bei ya chini kabisa 2000 ndo leo panaitwa ivo simu 2000simu 2000
Lakini Skuli siyo eneo Bob....Skuli zipo kila sehemu....mimi nilipenda kujua eneo kama eneo mf. Marikiti.skuli - zanzibar limetokana na school
Huenda ikawa kweli, kumbuka hizi ni Hearsay story.....Ila hili eneo lingekuwa uchagani pasingekuwa na haja ya kuuliza kama ni kweli😀😀😀😀😀Naskia hata ISIMANI(IRINGA) watu wanasema ni IS MONEY. Sijui ni kweli?!
Pengine upo sahihi lakini Ng'wanza na Koromba siyo maneno ya Kingereza.Mwanza lilitokana na Mtemi aliyeitwa Ng'wanza,Kirumba imetokana na neno la kisukuma KOROMBA lenye maana ya ASANTE