hii fixWakuu katika pitapita zangu nimekutana na historia ya majina ya sehemu ambayo yanatumika hivi sasa kutoka kwenye maneo ya kiingereza;
Do me Love = Dumila (Morogoro)
Mind You = Mindu (Morogoro)
Kill bad Guy = Kibaigwa (Dodoma)
Guy Love = Gairo ( Moro)
Man and Tom Boy = Matombo (Morogoro)
If I care her = Ifakara (Moro)
New Alert = Newala (Mtwara)
Carrier Corps = Kariakoo (Dsm)
Kill it Off Site = Kilosa (Moro)
Kill it on Bed or Down = Kilombero (Moro)
Wakuu mnaweza ongezea karibuni.....
asante ni wabhejjaNyegezi vipi?
Nauliza Makunduchi ilikuwaje historian yake??? Mwenye habari tufahamishane wakuu😃😃😃😃 yalikiwa mangapi hayo Makunduchi?Na haya je;-
Kwa Tumbo-
Mchamba wima-
Kiembe Mbuzi-
Bi Nyau-
Sijakufahamu, lakini nimeelewa chimbuko la KAMATAUmenifahamu?
Ndio ushan'fahamu ati!Sijakufahamu, lakini nimeelewa chimbuko la KAMATA
Mule ndani ya jengo la kamata kulikua na ofisi ya scandinavia na mpaka leo kuna basi zake....Pale Barabara ya Msimbazi inapokutana na Barabara ya Nyerere, pamezoeleka kwa jina la "Kamata". Baadhi ya vijana, hawaelewi kwa nini panaitwa hivyo. Wengine mpaka wanajiuliza nani akamatwe?
Miaka ile ya zamani, serikali ilikusudia kujenga Ujamaa na Kujitegemea. Na kufikia ndoto hiyo, ililazimu kukata "mirija" ya "makupe" wanyonyaji wote, yaani "mabepari". Na hivyo serikali kuanzisha biashara mbalimbali ili kufikisha huduma karibu kabisa na wananchi.
Mojawapo ya kampuni hizo ilikuwa ni kampuni za mabasi za mikoa, na lile baba lao, Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA).
Hiyo kampuni ya KAMATA ilikuwa na makao makuu yake pale kwenye jengo lililo makutano ya Msimbazi/Nyerere.
Ndio kisa cha eneo hilo kujulikana kama KAMATA.
Umenifahamu?
Mule ndani ya jengo la kamata kulikua na ofisi ya scandinavia na mpaka leo kuna basi zake....