Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Vipi kuhusu
1.Bukoba
2.Biharamulo
3.Ludewa
4.Wanging'ombe
5.Nkasi
6.Tosamaganga
7.Ifunda
8.Makambako
9.Dar eS salaam
10.Mikumi
11.Morogoro
12.Butimba
13.Butiama
14.Katoro
15 Buseresere
16.Arusha
17.Mtwara
18.N.k...
 
Masahihisho: KOLOMIJE
Kuna mzungu alikuwa anaitwa JONATHAN, siyo JAMES. Alikuwa na kisima Cha maji Sasa wasukuma walishindwa kumwomba maji sababu hawawezi kutamka Jonathan, hii nadhani Hadi leo hawawezi . Mzungu akawarahisishia kwamba call me J.
 
Asante sana
 
1.Mlonganzila-Dar
2.Iloganzala- Mwanza.

Nini historia ya maeneo haya? Maana naona ni bantu words zinazoelekea kuwa na maana moja.
 
Godima kuna Baridi hatari aisee
Pia jina jingine la Matobolwa ni michembe wasukuma na wanyamwezi wananielewa vyema
 
Vipi kuhusu
1.Bukoba
2.Biharamulo
3.Ludewa
4.Wanging'ombe
5.Nkasi
6.Tosamaganga
7.Ifunda
8.Makambako
9.Dar eS salaam
10.Mikumi
11.Morogoro
12.Butimba
13.Butiama
14.Katoro
15 Buseresere
16.Arusha
17.Mtwara
18.N.k...
Tosamaganga, tupa mawe
 
1.Mlonganzila-Dar
2.Iloganzala- Mwanza.

Nini historia ya maeneo haya? Maana naona ni bantu words zinazoelekea kuwa na maana moja.
Kwa kibantu maana yake zipo tofauti sana tu.
Mloganzila yaweza kuwa na maana inayoongelea njia na iloganzala yaweza kuwa linaongelea njaa.
 
1.Mlonganzila-Dar
2.Iloganzala- Mwanza.

Nini historia ya maeneo haya? Maana naona ni bantu words zinazoelekea kuwa na maana moja.

mloganzila .,,, maaana yake ni mloga njia au waroga njia nimeishi sana kibamba mloganzila ... kuna mzee aliniambia zaman kulikuwa na ushirikina wa kuroga njiani
 
Kariakoo ni Carrier Corps yaani Wapagazi. Hawa walikuwa wapagazi wakati wa vita vya dunia.
 
Back
Top Bottom