mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Osterbay wazungu wenyewe waliipa jinaNchi haina maendeleo kwa sababu ya haya majina mabaya mabaya. Majina ya sehemu uchangia Sana maendeleo ya sehemu husika. Kwa nini tusiite maeneo yetu kama Eton, Yorkshire, plywood, montenegro, Barker street, midlands, oxfordshire greenvalley etc. Tulipojitahidi ni Oyster Bay na si unaona ulivyopangika na kupendeza na ni heavily affluent gated neighborhood.
Victoria nayo jina lilitokana sababu qeen Victoria wa uingereza alikaa pale
Morocco,kuna mkutano wa wanawake ulifanyika huko waliporudi tanzania walipewa eneo wakaliita moroco
Magomeni mapipa,nyumba zamani pale ziliizekwa kwa mapipa na magome
Sinza lions zamani huko kulikuwaga na simba mnyama
Mikocheni,.maaeneo hayo kulikuwa na miti ya mikochikochi
Ova