Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Hapana, Tanganyika imetokana na maneno mawili yaani Tawa na Nyika ambapo wajerumani walipokuwa wakiwalazimisha babu zetu kulima kwa nguvu kwenye mashamba ya kikoloni eg mkonge hawakupenda kuwaona hawa babu zetu wakijikusanya kwa maana waliogopa mapinduzi au harakati za mgomo au any kind of retaliation hivyo mjerumani alipowaona hao watumwa wamejikusanya waliwaambia Tanganyika akimaanisha tawanyika hence the name TANGANYIKA
 
Sinza Palestina ina uhusiano gani na mgogoro wa Palestine na Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…