Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Mbona nilisikia tofauti na usemavyo wewe.
Zamani ilikuwa (kilima kyar'yu)yaani kilima chetu. Wazungu wakashindwa kutamka (kyar'yu)yaani chetu ndo wakaanza kuita kilimanjaro mpaka likazoeleka hivyo
Hizo ni nadharia hii inatokea sehemu nyingi.
Karibia kila eneo utasikia wazungu walishindwa kutamka vile wakatamka hivi.
 
Haha ni eti ni kama kule kwa kina bashite eti kuna mzungu alikuwa anaitwa J,eti akawa anawambia call me J,basi hilo. eneo likaitwa kolomijei.

Hao wazungu sijui walienda wapi,ila kwa Kilimanjaro inawezekana wazungu walishindwa kutamka kilema kyaroo.
 
Yaani Kila sehemu wao walienda hata Geita walishindwa kutamka Keita wakaita Geita
 
Dah we acha tu maisha ya kitambo yalikuwa raha sana,eti kule saadani mhindi mmoja mwenye duka alikuwa ndio mwenye SAA kijiji kizima watu walikuwa wakitaka kujua muda lazima waende kwake kuuliza ni SAA ngapi muda huo,SAA ilikuwa ya ukutani na uko ndani ya nyumba.

Ulikuwa ukifika kwake anakwambia ingia saadani,yaani ingia ndani SAA iko ndni.
 
Wakuu bila shaka uzima upo. Basi nashukuru pia poleni kwa wale uzima unapelea.
Leo nimeamua kuja mbele yenu kuuliza kwa nini Wazungu tu? Naamu hii inamaana ya kuomba msaada wa majibu kwenu.
Ukifuatilia Asili au Maana ya Maneno ya majina ya maeneo mengi hapa nchini utakuta na majina hayo asili yake au maana mzungu kuhusika ndani yake.
Mifano;
1- Asili ya Neno Geita.
Geita imetokana na neno la kisubwa(kwa nadharia moja) yenye maana ya neno Keita yaani kuuwa (kwa kisubwa). Hivyo hapo zamani watu waliokuwa wakipita milimani kuingia Geita walikuwa wakifia njiani hivyo wenyeji wakawa wanasema Akabanga Keita Abhantu yenye maana Mlima unauwa wafu (kwa kisubwa). Hivyo Neno Keita wazungu walishindwa kuita wakaita Geita na ndiyo ikawa mwanzo wa neno Geita.

2- Asili ya neno Kilimanjaro
Zamani ilikuwa ikiitwa (kilima kyar'yu)kwa kabila la kichaga yaani kilima chetu. Wazungu wakashindwa kutamka (kyar'yu)yaani chetu ndo wakaanza kuita kilimanjaro mpaka likazoeleka hivyo na hapo ikawa mwanzo wa neno Kilimanjaro.

3- Asili ya neno Lukuledi mkoani Ruvuma
Lukuledi ni moja ya eneo lililopo mkoani Ruvuma asili yake ni kwamba maeneo hayo kulikuwa na mto hivyo wanawake walipenda kuoga maeneo ya mto, sasa wazungu wakipita pale wanaanza kuongea Look Ladies hivyo na sisi Wabongo tukajua Hilo eneo bila shaka ni Look Ladies hivyo kwa vile kizungu hakikueleweka wao walijua ni Lukuladi sawa na Look Ladies na hapo ikawa mwanzo wa jina hilo.

4- Asili ya Jina kolomije- Mkoani Mwanza
Kuna mzungu alikuwa anaitwa J. Hivyo kwa jinsi alivyokuwa alijitambulisha akawa anawambia call me J akimaanisha niite J(kw kiswahili), basi hilo eneo likaitwa kolomije na wenyeji walio Kuwa wakijua mzungu huyo anasema eneo hilo ni Kolomije yaani call me J.

Pia kuna maeneo mengine ambayo uwepo wake ni chanzo cha wazungu.

Je, bila wazungu tusingekuwa na majina ya maeneo yetu au kabla ya mzungu sisi hatukutambua umuhimu wa majina ya maeneo.

Wenu Kasomi naomba majibu pia unaweza share stori ya chanzo cha eneo.
 
Dah we acha tu maisha ya kitambo yalikuwa raha sana,eti kule saadani mhindi mmoja mwenye duka alikuwa ndio mwenye SAA kijiji kizima watu walikuwa wakitaka kujua muda lazima waende kwake kuuliza ni SAA ngapi muda huo,SAA ilikuwa ya ukutani na uko ndani ya nyumba.

Ulikuwa ukifika kwake anakwambia ingia saadani,yaani ingia ndani SAA iko ndni.
Nimeamua kufungua na uzi wacha nishee na hizi.
 
Unasema una mifano ya majina mengi halafu unatoa minne tu

Nilitegemea utaorodhesha maeneo mengi.ngoja waje watalaam kwanza tuongeze maneno Kisha tutajadili
Unamjua Emanuel kasomi mwite na mwenyewe aje
 
Dah we acha tu maisha ya kitambo yalikuwa raha sana,eti kule saadani mhindi mmoja mwenye duka alikuwa ndio mwenye SAA kijiji kizima watu walikuwa wakitaka kujua muda lazima waende kwake kuuliza ni SAA ngapi muda huo,SAA ilikuwa ya ukutani na uko ndani ya nyumba.

Ulikuwa ukifika kwake anakwambia ingia saadani,yaani ingia ndani SAA iko ndni.
Pitia hapa.
Kwa nini Wazungu tu?
 
Unasema una mifano ya majina mengi halafu unatoa minne tu

Nilitegemea utaorodhesha maeneo mengi.ngoja waje watalaam kwanza tuongeze maneno Kisha tutajadili
Unamjua Emanuel kasomi mwite na mwenyewe aje
Mkuu sijasema nina mifano mingi, nimesema mifano hivyo sentensi hiyo inajitoshereza hata kutoa mifano miwili tu.
 
Mchango wa mdau mwingine

"Dah we acha tu maisha ya kitambo yalikuwa raha sana,eti kule saadani mhindi mmoja mwenye duka alikuwa ndio mwenye SAA kijiji kizima watu walikuwa wakitaka kujua muda lazima waende kwake kuuliza ni SAA ngapi muda huo,SAA ilikuwa ya ukutani na uko ndani ya nyumba.

Ulikuwa ukifika kwake anakwambia ingia saadani,yaani ingia ndani SAA iko ndni".
Chanzo: CHIBURABANU
 
Back
Top Bottom