autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Mohamed Igbar aliasisi jina la Tanzania wakati akiwa mwanafunzi Tabora Secondary baada ya Serikali ya wakati huo baada ya muungano kutangaza kwenye magazeti kutaka wananchi wapendekeze jina na yeye kuibuka kidedea.
Taarifa mkanganganyiko..
Umesema alisoma tabora.
Raisi kikwete alisema alikuwa anasoma morogoro pale forest hill nadhan ilikuwa na jina lingine kipindi hicho cha muungano.
Yupi ni sahihi.??
Kuna haja ya kuandikwa upya historia nzima ya nchi hii kuanzia kipindi cha ukoloni , harakati za uhuru, muungano na baada ya hapo.