Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,520
- 766
Wana Jamiiforums,,binafsi naamini jambo lolote kubwa lina sababu.Na kama lina sababu basi nyuma yake kuna mwazilishi wa wazo hilo.
Napenda kujua,,Baada ya Mwl Nyerere kutangaza nia ya kuunganisha visiwa vya Zanzibar na Tanganyika,,je nani alikuja na jina la "TANZANIA"? Je,ni Nyerere mwenyewe? Kama si yeye,ni nani? Aliishi mkoa gani? Kama ni wengi, Nani walikuwa kwenye kamati ya mchujo? JE, wako wapi hadi sasa?
Nikiwa mwananchi wa nchi hii nitafuraji kujua,mengi kuhusu Taifa langu kutoka kwa yeyote mwenye uelewa.
ASANTENI
#####
ASANTENI @MODERATORS kuniunganisha katika jibu ambalo nimelitafuta kwa miaka mingi..ASANTENI SANA tena sana.Leo nakiri wazi JAMIIFORUMS ni kisiwa cha maarifa.
Nitaendelea kushawishi wengine wajiunge na JF..japo nimeshafanya hivyo kwa 3,,ila kama shukrani zangu I promise so!
=