autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Kweli mkuu??
Huyu Iqbal mbona ajatajwa na Rais wa Gerezani Ustadhi Mohamed Said au kwasababu si mkaazi wa Kariakoo.
Rais amesema amesoma Agakhan Morogoro na kiwa huko ndiko alipotunga jina hili....Tanzania, sasa AghaKhan ni Forest Sec ya Morogoro
masultani haohao tuliowafurusha then watutungie jina la nchi!!??? majanga!
Mie nilimfahamu majuzi pale raisi jk alipokuwa anahutubia vijana .
Kinachonishangaza historia ya nchi hii kufichwa hadi wakuu wakiamua kuitoa.
Kuna umuhimu wa kuandikwa upya historia ya nchi hii, watu waliohusika na iwekwe kwenye mitaala ya masomo ili watoto wafundishwe mashuleni itasaidia sana uzalendo kuwepo pia watu kuipenda nchi yao.
masultani haohao tuliowafurusha then watutungie jina la nchi!!??? majanga!
Halikwepeki hilo, kama ndivyo fikra zako zinavyokutuma:
Jina Dar Es Salaam, limetoka ndani ya Qur'an.
Hapo sasa!
Racial bigots mpo? "Sultani" amebatiza nchi.
Hivi ezi hizo Patel alikuwa pale forest kweli mkuu?
Hahaha..au alikuwa mwanafunzi na yeye
Halikwepeki hilo, kama ndivyo fikra zako zinavyokutuma:
Jina Dar Es Salaam, limetoka ndani ya Qur'an 10:25
Hapo sasa!
hata siku moja siku wahi kuona ktk maandishi ya Mohamed Said akimtaja au kumzungumzia.nahisi huyu sio muislamu wa madhehebu ya sunni na wezee wake hawakuwa wazawa wa mzizima/gerezani kkoo.
hata siku moja siku wahi kuona ktk maandishi ya Mohamed Said akimtaja au kumzungumzia.nahisi huyu sio muislamu wa madhehebu ya sunni na wezee wake hawakuwa wazawa wa mzizima/gerezani kkoo.
Alitakiwa atajwe kwenye nini mkuu
Niweke sawa hapo
Na gerezani kunarais au ni rais kama wale wa bongo fleva na ngwasuma?