I na A haina maana ya Iqbal na Ahmadiya. Uongo huo
Hawa jamaa wa Imani ile....! Huwa wanapenda sana kulala kama vile demu au mtoto, sasa tukianza kukumbukana kila m2 aliyeanzisha kitu tutafia kweli?
Mbona yule mzee alianzisha CUF Alex Mapalala mbona naye hatajwi na watu wanajua kuwa mwanzilihsi ni Uamsho?
mawazo mgando ndugu yangu kwani nini maana ya histiria. hiyo ndiyo sababu watu kama wewe wafikiri cuf imeanzishwa zbar bali ni bara na mkristo mapalala ndiye mwanzilishi.
Kwanza mjina wenyewe alioubuni ni kama una laana hata yeye alijua katupeleka chaka kwa hilo jina ndiyo maana akakimbia na kubadili kabisa uraia.
Kama angekuwa yeye mwenyewe yupo proud asingekimbia bali angeuishi uvumbuzi alioufanya. Katutia nuksi na hilo jina halafu anatupigia kelele, alitaka apewe nini? Mgodi? Jimbo? Au....?
zawadi ya sh 200/- tu !!!
Aaaah kwa hiyo ni kweli huyu Jamaa, mwenye asili ya kihindi ndiye alishinda hayo mashindano na ndie aliyeipa hii nchi jina Tanzania? oopsss, history yetu inaonyesha hatuwezi kukwepa uhindi na uarabu uliokuwepo hapa kwetu, kwani hata Dar es Salaam nasikia ni kiarabu pure.
hata mimi nashukuru kuongeza uelewa kuhusu jina Tanzania. nilijifunza kuhusu huo muundo wa jina lakini sikuwa nafahamu hasa nani alihusika kulipata. Huyo bwana Dar anamsifu sana Nyerere na anataka aenziwe nami naona ni vema sana. nafikiri pia ingefaa tutafute mji mmoja hasa kati ya Dodoma na Dar es Salaam uitwe jina la mwalimu kama ilivyo Washington kule USA kama heshima kwa rais wa kwanza wa taifa hilo kubwa.Nashukuru kwa kuniongezea hilo katika maktaba ya kichwa changu.
Mkuu usiwe so aggressive mi naona jambo hili limekuwa la kihistoria na ni kiasi cha histori kutaja tu jina hili lilivyopatikana na si kumpa zawadi yoyoteKwanza mjina wenyewe alioubuni ni kama una laana hata yeye alijua katupeleka chaka kwa hilo jina ndiyo maana akakimbia na kubadili kabisa uraia.
Kama angekuwa yeye mwenyewe yupo proud asingekimbia bali angeuishi uvumbuzi alioufanya. Katutia nuksi na hilo jina halafu anatupigia kelele, alitaka apewe nini? Mgodi? Jimbo? Au....?
Si Kiarabu tu, ni jina linalopatikana ndani ya Qur'an 10:25:
وَاللّهُ يَدْعُو إِلَى دَارِ السَّلاَمِ وَيَهْدِي مَن يَشَاء إِلَى صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ
WaAllahu yadAAoo ila dari alssalami wayahdee man yashao ila siratin mustaqeemin
But Allah doth call to the Home of Peace: He doth guide whom He pleaseth to a way that is straight.
Na Mwenyezi Mungu anaita kwendea Nyumba ya Amani, na anamwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka.