Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Majina Kama ayo ya meanza baada ya sisi kuachana na mungu wetu wa kweli.Wasafwa tulimuita UNGULUBHII!
wazungu wametuharibu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina Kama ayo ya meanza baada ya sisi kuachana na mungu wetu wa kweli.Wasafwa tulimuita UNGULUBHII!
wazungu wametuharibu Sana.
Evidence please?Uyo YHWH Ni shetani pia.
That's the really problem bro you are too emotional than logical, can you explain in detail your opinionsUyo YHWH Ni shetani pia.
Ikiwa hao wanaomuamini wanakiri kwamba ni wa vyote bila upendeleo na ndiye muumba wa vyote then in essence ni mmoja. Sema jina wanalotumia kukitaja hicho cheo ndio watatofautiana.Unataka kusema Allah, Mungu, Ruwa, Nguluvi, Kyala, God nk nk ni kitu kimoja?
Ungulubhi akhomile ishikao pa mwanya. Na Malaika na Makherubi..Wasafwa tulimuita UNGULUBHII!
wazungu wametuharibu Sana.
Ungulubhi akhomile ishikao pa mwanya. Na Malaika na Makherubi..
😲😲😲Ungulubhi huwa tunamaanisha Mungu wa Yakobo kumbe?nkajua tulimaanisha Mungu wa Mwalyego?!
Note: Mungu wa kweli ni mmoja Muumba wa vyote vyenye kuonekana na visivyoonekana, wa milele, mweza yote,mjua yote, afanyaye kila jambo kwa shauri la mapenzi yake pekee, mwenye uwezo wa kuua na kuhuisha hata roho (je Mungu wako ana fit hapo?) Kama hatoshani na sifa hizo tafakari kisha chukua hatua.
Naomba kuwasilisha.