Asili ya uchawi na kuabudu Maiti, Jua na Mwezi ni Babeli siku chache baada ya gharika ya Nuhu

Ongezea na wanaaoabudu siku haswa sabato. Kwao siku ni muhimu kuliko kuacha dhambi
Luka 4:16 Yesu ilikuwa desturi yake kuabudu kila sabato

Je huyu alikuwa muabudu Siku?
 
Ongezea na wanaaoabudu siku haswa sabato. Kwao siku ni muhimu kuliko kuacha dhambi
hakuna anayeabudu siku na kuruhusiwa kufanya dhambi.
haya ni matokeo ya kujifunza mambo ya wasabato katika shule ya misinterpretation of facts.
 
Mungu anayesoma mioyo ya wanadamu, hawezi kuuacha moyo wa mtu anayemtafuta kwa dhamiri safi adumu anatangishwatangishwa na wasanii wa neno lake.
anza kwa kusoma maneno yake na kuazimia kuyatii. mwanzo huo ni mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…