hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Luka 4:16 Yesu ilikuwa desturi yake kuabudu kila sabatoOngezea na wanaaoabudu siku haswa sabato. Kwao siku ni muhimu kuliko kuacha dhambi
Je huyu alikuwa muabudu Siku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luka 4:16 Yesu ilikuwa desturi yake kuabudu kila sabatoOngezea na wanaaoabudu siku haswa sabato. Kwao siku ni muhimu kuliko kuacha dhambi
hakuna anayeabudu siku na kuruhusiwa kufanya dhambi.Ongezea na wanaaoabudu siku haswa sabato. Kwao siku ni muhimu kuliko kuacha dhambi
Mungu anayesoma mioyo ya wanadamu, hawezi kuuacha moyo wa mtu anayemtafuta kwa dhamiri safi adumu anatangishwatangishwa na wasanii wa neno lake.Huyo Yesu tunampata wapi?
Ikiwa Mapadre Ela za Sadaka, Wahisan/Wafadhili zinaliwa.
Fedha za kulea Mayatima zinaliwa, waumin wa makanisan nao wanakula Pombe, Zinaaa, wanapiga dilu za ela.
Na hivi sasa kumeibuka wanaojiita Manabii wa uwongk ambak wanapiga Ela halafu wanatembea.
Mmh! Mambo ya Iman Magum sana aisee...
Nijuavyo mimi tunaishi kizazi cha nyoka.... Kizazi kile cha Sodoma na Gomora