Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
Wakuu, Kwa wale wanaoifahamu Jiografia ya Mkoa wa Kilimanjaro,
Huu mkoa umekaliwa sana na Wapare (maeneo ya Same na Mwanga), Wamasai kidogo na Wachaga kwa wingi, takribani kwa wilaya nyingine zinazobakia. i mean Hai, Moshi Mji, Moshi (V), Siha na Rombo.
Kunasehemu moja inaitwa Masama iko wilaya ya Hai, hili eneo limekaliwa na Waislamu kadhaa tena wale wenye misimamo ya wastani. ni nini asili yao?
Sababu ya kutaka kujua, ni nzuri tu coz hawa wako sarrounded na Wachaga wakristo with no impact on their presence.
Hata kisiasa ni watu wapenda mabadiliko.
Ni chimbuko la kina Former I GP Said Mwema.
Na pamoja na hayo, Kwa pale mjini(Hai) ni sehemu yenye misikiti mingi tu, dhana ya udini Kazkazini kwa sasa haiko tena.
Nawasilisha