Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
- Thread starter
- #41
Uislam na waislam utaukuta na utawakuta popote duniani hata ndani ya Vatican.
Kimsingi mtoto akizaliwa huzaliwa ktk maumbile ya asili ya uislam(fitra) ambayo yameelezwa vyema ndani ya Qur'an kuanzia
tendo la ndoa,mchupo wa manii,pande la nyama,kupuliziwa roho,miezi 9 tumboni.mpaka kuzaliwa.
Kwakua mtoto huzaliwa akiwa muislam kamili ndo maana wakristo hujaribu kuleta dhana ya UBATIZO eti kujaribu kumvua mtoto uislam wake.
uongo wa wazi huu.