Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

sio wote wako kama unavyowafikiria. Waislamu wa kule Tabora, Singida na Shinyanga hawana elimu yoyote, ni wachahe sana wenye kupenda elimu ya darasani katika hayo maeneo.
Nenda Musoma, Shinyanga, Karatu, Babati, Tarime, Ukerewe, Makambako, Arusha kwa Wamasai, Makete, kaangalie Wakirsto hawataki shule kabisa.

Mikoa ya Wakirsto walienda shule inajulikana.

Acheni kuwawekea sumu Waislam.
 
Baada ya kuwapa sumu Waislam na kufa huko Marangu unalikana kabila lako.

kuna watu wamekulia Moshi, hadi wanafikia umri wa miaka 13 hawaujui uislamu kabisa.
from standard 1 to 7. wengine mpaka kidato cha pili wanapoanza kusoma historia ya Afrika...ndiyo wanajua kuna dini inayoitwa uislamu
 
mkuu
story yako inafanana na tukio lililowahi tokea kule kwetu mbinga-songea ambako bila shaka yeyote 99.9% ya wenyeji ni wakristo.

naambiwa kuna mwaka mmoja hivi karibuni aliibuka muislamu mmoja toka dar na pesa kibao alizopewa na waarabu ili ausambaze uislamu mwambao wa lake nyasa sambamba na kujenga misikiti.

basi alipo wasili tu,akapokelewa na wenyeji baada ya kueleza lengo lake,aka itisha mhadhara na vijana walihudhuria.wale vijana wakamwabia kama issue ni kupata tu waislamu ili upeleke report kwa waliokutuma,kwanza tupe chetu.

basi jamaa akatoa pesa,kanzu na barakashia kwa wale vijana. na kweli kwa zile wiki mbili ambazo yule msambaza uislamu alizoshinda nao,walijifanya kama wamesilimu.

story ni ndefu,ila mpaka wakati huu,wale vijana wote wamebaki na ukristo wao.hakuna hata mmoja aliye silimu.wana subiri neema itokee aibuke tena muislamu mwingine ili wapige pesa.imekuwa ni kama mradi wa pesa za uchaguzi.hahaha
 
Uislam na waislam utaukuta na utawakuta popote duniani hata ndani ya Vatican.
Kimsingi mtoto akizaliwa huzaliwa ktk maumbile ya asili ya uislam(fitra) ambayo yameelezwa vyema ndani ya Qur'an kuanzia
tendo la ndoa,mchupo wa manii,pande la nyama,kupuliziwa roho,miezi 9 tumboni.mpaka kuzaliwa.
Kwakua mtoto huzaliwa akiwa muislam kamili ndo maana wakristo hujaribu kuleta dhana ya UBATIZO eti kujaribu kumvua mtoto uislam wake.

hekaya za abunuasi.
 
mkuu
story yako inafanana na tukio lililowahi tokea kule kwetu mbinga-songea ambako bila shaka yeyote 99.9% ya wenyeji ni wakristo.

naambiwa kuna mwaka mmoja hivi karibuni aliibuka muislamu mmoja toka dar na pesa kibao alizopewa na waarabu ili ausambaze uislamu mwambao wa lake nyasa sambamba na kujenga misikiti.

basi alipo wasili tu,akapokelewa na wenyeji baada ya kueleza lengo lake,aka itisha mhadhara na vijana walihudhuria.wale vijana wakamwabia kama issue ni kupata tu waislamu ili upeleke report kwa waliokutuma,kwanza tupe chetu.

basi jamaa akatoa pesa,kanzu na barakashia kwa wale vijana. na kweli kwa zile wiki mbili ambazo yule msambaza uislamu alizoshinda nao,walijifanya kama wamesilimu.

story ni ndefu,ila mpaka wakati huu,wale vijana wote wamebaki na ukristo wao.hakuna hata mmoja aliye silimu.wana subiri neema itokee aibuke tena muislamu mwingine ili wapige pesa.imekuwa ni kama mradi wa pesa za uchaguzi.hahaha

there where Ritz & co. is needed kueneza hii dini murua ya uislamu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu
story yako inafanana na tukio lililowahi tokea kule kwetu mbinga-songea ambako bila shaka yeyote 99.9% ya wenyeji ni wakristo.

naambiwa kuna mwaka mmoja hivi karibuni aliibuka muislamu mmoja toka dar na pesa kibao alizopewa na waarabu ili ausambaze uislamu mwambao wa lake nyasa sambamba na kujenga misikiti.

basi alipo wasili tu,akapokelewa na wenyeji baada ya kueleza lengo lake,aka itisha mhadhara na vijana walihudhuria.wale vijana wakamwabia kama issue ni kupata tu waislamu ili upeleke report kwa waliokutuma,kwanza tupe chetu.

basi jamaa akatoa pesa,kanzu na barakashia kwa wale vijana. na kweli kwa zile wiki mbili ambazo yule msambaza uislamu alizoshinda nao,walijifanya kama wamesilimu.

story ni ndefu,ila mpaka wakati huu,wale vijana wote wamebaki na ukristo wao.hakuna hata mmoja aliye silimu.wana subiri neema itokee aibuke tena muislamu mwingine ili wapige pesa.imekuwa ni kama mradi wa pesa za uchaguzi.hahaha
Hadithi alikufundisha nani mama au baba?

Haya wana JF mpigieni makofi matatu...

Kwi kwi kwi kwi!
 
Bora kufuga majini kuliko ule ushirikina wanaoenda kuufanya kila mwezi wa kumi na mbili.
Wanazuga kwenye mwamvuli wa dini wakati washirikina tu wafanya matambikooooo!
Uislamu hauruhusu ndo maana mnauchukia.

mkuu samahani,hivi ule wa mwezi 12 ni ushirikina au matambiko ya kimila kuendana na taratibu za koo.?.
 
Nimegundua kwa nini masikini wengi kwa dar wako manzese,dom wapo chang'ombe,arusha wapo unga,moshi wapo njoro,sgd wapo mitunduruni.

mkoa wa ruvuma wapo wilaya ya tunduru.ndio hawa akina mrisho mpoto.hahahaha
 
kuna watu wamekulia Moshi, hadi wanafikia umri wa miaka 13 hawaujui uislamu kabisa.
from standard 1 to 7. wengine mpaka kidato cha pili wanapoanza kusoma historia ya Afrika...ndiyo wanajua kuna dini inayoitwa uislamu
Wala mie siitaji kujua hayo.
 
Yeah ni kweli mkuu, nimeishi masama few years ago kwa ndugu zangu ni waislam, na maeneo yale wachaga wengi ni waislam hadi kule sokoni masama kuna misikiti.

Ila nilipo wauliza kwanza wenyewe wasema asili yao kabisa sio kule na hata mahadhi yao ni ya kipwani pwani na wengi wao ukichunguza ni wahamiaji.

Ila wilaya ya Hai ndo inaongoza kuwa na waislam hata wachaga wamachame pia nao wengi ni muslim.
 
Hili Jukwaa lina watu wa hovyo sana! Yaani Mwislamu akiona Mwarabu anatajwa kwa mabaya anakuja juu utafikiri babake! Mkristo na yeye alivyo mtu wa hovyo, akitaka kuzungumzia biashara ya utumwa basi lazima amuhusishé Mwarabu na dini yake huku akisahau Trans-Antlantic Slave Trade ilifanywa na Wazungu Wakristo! Trust me, Christians and Moslems are the most insane communities ever happened in the world history! If I were God, I'd sink these two communities and start afresh!
hili nakuunga mkono ndio maana wasioamini mungu wanazidi kupata wafuasi.

kuna mama mmoja jirani ni mlokole amekufa mwaka huu nilikuwa nje ya mkoa lakini nilijitahidi na nikawahi kushuhudia kama ni yeye na anazikwa kweli.

maana huyu mama wakristo tusio walokole alikuwa anatuita sisi ni shetani sawa na waislamu tu. imagine hapo wote mnamuamini yesu mmoja hapo
 
mkuu
story yako inafanana na tukio lililowahi tokea kule kwetu mbinga-songea ambako bila shaka yeyote 99.9% ya wenyeji ni wakristo.

naambiwa kuna mwaka mmoja hivi karibuni aliibuka muislamu mmoja toka dar na pesa kibao alizopewa na waarabu ili ausambaze uislamu mwambao wa lake nyasa sambamba na kujenga misikiti.

basi alipo wasili tu,akapokelewa na wenyeji baada ya kueleza lengo lake,aka itisha mhadhara na vijana walihudhuria.wale vijana wakamwabia kama issue ni kupata tu waislamu ili upeleke report kwa waliokutuma,kwanza tupe chetu.

basi jamaa akatoa pesa,kanzu na barakashia kwa wale vijana. na kweli kwa zile wiki mbili ambazo yule msambaza uislamu alizoshinda nao,walijifanya kama wamesilimu.

story ni ndefu,ila mpaka wakati huu,wale vijana wote wamebaki na ukristo wao.hakuna hata mmoja aliye silimu.wana subiri neema itokee aibuke tena muislamu mwingine ili wapige pesa.imekuwa ni kama mradi wa pesa za uchaguzi.hahaha

Tena ule mwambao wa ziwa wengi ni wakristo wa Anglikan nadhan kwasababu ya muingereza kudominate Nyasaland na British wengi ni Anglican
 
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.

acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.

unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?

Siungesema tu huyo sultani jemshid alifanya nini?
 
Back
Top Bottom