Waarabu hawakuwa wajinga kama watu wengine mnavyolazimisha watu tuamini. walikuja na taratibu mzuri tu za maisha ambazo zilikubalika na watanganyika au wazanzbar. mji wa kilwa ulikuwa na hela yake miaka hiyo kabla hata wamisionar hawajaja. hao wamisionari ndo walokuja kunyonya nchi hii kwa kusafirisha kila kitu kwenda ulaya. Watu msituaminishe et wamisionari walileta neema nchi hii, ni uwongo kabisa kwani hawa ndo waliowavuruga watanganyka. hata nyerere alipopewa package ya uhuru alipewa mashart ya kuulea umisionari na hata pale alipojifanya kutaifisha shule zao ilikuwa kiini macho tu kwa waislam na ndo maana leo tunashuhudia kurudishwa kwa shule za wamisionari. Acheni kuwasema vbaya waarab au uislamu.
Nyerere aliyekufa amerudi kurudisha shule kwa wamisionari?