Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Matola,
uislamu uliutangulia ukiristo humu tz kwa miaka kama 700. Kwa maana hiyo suala la waislamu wa Masama halina tatizo kama vile baadhi ya waarabu walivyojiunga na Mkwawa kupigana na wajerumani, na hilo ndilo jibu kuwa iweje waarabu unaotanguliza kuwa walishika halaiki utumwa hawakuwa na vita na WENYEJI? Badala yake tunakuta kina Mirambo, Mkwawa, Sina nk wanapigana sio na waarabi bali na Wazungu waliojenga Shule na Hospitali? Ina maana Mkwawa hakutaka Mashule? Ina maana wajerumani walimnyonga Mangi Sina kwa kukataa mashule? Mbona wakati wazungu wanafika walikuta mwambao wote unatumia herufi za kiarabu kuwasiliana kiswahili (hadi machifu wa sambaani kina Kimweri)? Hawa wazee walikuwa wanajua kusoma!!!!! na kuandika
Amini kuwa hao "waliovumbua" Mlima Kilimanjaro walielekezwa mlima ulipo na waarabu wa zanzibar kwa vile maeneo haya yalikuwa na miji yao ya biashara kwa zaidi 500 years
Kisha nakuachia swali. Afrika magharibi kulifanyika biashara kubwa sana ya utumwa (kirasmi inaitwa West Africa Slave Trade). Huku Afrika Masharika pia pakawa na biashara kama hiyo (hii inaitwa East Africa ARAB slave trade). Do you have any idea kwa nini ile ya Africa magharibi hamna neno "European" ila hii ya huku kwetu ni muhimu kuwa na neno Arab?
TAFAKARI!!!!!
Wickama
naomba utuwekee chapisho la kisomi lilipitishwa na taasisi zinazoheshimika kwa kuaprove machapisho ya kisomi kuliko kuanza kuleta ngano zisizo na mashiko yoyote. maandishi yako yamejaa porojo kama za Mohammed said.
cc; Mzee Mwanakijiji Pasco
Last edited by a moderator: