jamani nami naomba kuuliza swali. kati ya maarabu na wazungu ni kina nani wana roho mbaya na wanatakiwa kulaumiwa kwa vitendo vyao viovu?
je, ulishawahi kujiuliza ni kwa nini nchi za kiarabu hakuna watu wenye asili ya Afrika ambao walibebwa kipindi cha utumwa?
Je, kuna uwezekano kuwa watumwa walioenda nchi za kiarabu walihasiwa ili kutozaliana?
Kama hawakuhasiwa, mbona watumwa walioenda Amerika hadi sasa hivi tunaona vizazi vyao vikiendelea iweje vikosekane kwa walioenda nchi za kiarabu?
nimeuliza kutaka kujua na kuongeza ujuzi. sina ushabiki wa dini wala itikadi.