Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Marangu eneo la Samanga ni eneo lenye Waislam wengi.... ukoo wa Mongi pia umedominate sehemu hiyo
 
Waislam sehemu yeyote ile wanatofautiana,wapo wale wenye hawana time na dini yao (hawa safi sana hawa) wapo wenye msimamo wa wastani na pia wapo extremists (hawa ndio balaa).
Kwaiyo watu wasipo kuwa na time na Dini yao ww ndio unawaona watu safi? Kwa akili yako unastahili kuamini mungu alining'inizwa msarabani tena akiwa na nguo ya ndani tu! !!!
 
Kwaiyo watu wasipo kuwa na time na Dini yao ww ndio unawaona watu safi? Kwa akili yako unastahili kuamini mungu alining'inizwa msarabani tena akiwa na nguo ya ndani tu! !!!
Kweli huyo ni "mungu" wako. Mungu wetu hatumwamini kwa njia unayoifikiria wewe!
 
Kwaiyo watu wasipo kuwa na time na Dini yao ww ndio unawaona watu safi? Kwa akili yako unastahili kuamini mungu alining'inizwa msarabani tena akiwa na nguo ya ndani tu! !!!
Kuna imani zinaondoa akili vichwani.
 
Write your reply...mada nzuri ila mmeiharibu kwa udini nguruwe ninyi
 
Wakati H.M Stanley anakuja Tanganyika alimkuta Mirambo anapigana na nani!?? ilikuaje akamwita Mirambo The Napoleon of central Africa.!??
alikuwa anapigana na miliki ndogondogo kisha anafanya himaya yake, we jiulize huyo mirambo bunduki na punda alipata wapi? ndio utagundua kuwa alikuwa akiwapa vibali waaarabu wachukue waafrika yoka jamii nyingine wakauzwe utumwa, yani huyo mirambo alihusika vyema kuchajiza utumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mleta mada hujakosea , waislam wa pale masama ni WATAFUTAJI BALAA, yaani wanaikimbiza hela haswa sio kama wale wa pwani wa kuzunguka kwenye maulidi na bakora mkononi na msuli kiunoni jumatatu mpaka jumapili, kpale kuna kina saba general wamewekeza Arusha maduka makubwa, kuna kina Wulkan Engineering huwezi jua kama ni wa islam labda uwakue saa ya ibada tu, wako na mavazi ya kazi sio msuli kiunoni kutwa..kama kuna atae kerwa samahani ila wale wachaga wa masama ni kwere, na saa ya kuswali wanaswali na sadaka wanatoa kwa wahitaji ila huwakuti wakicheza ba bakora.
 

Wazanzibari hawana tatizo na waarabu na wala Jemshid. Bila ya shaka wewe umeikusudia serekali ya CCM ambayo hata wafuasi imekosa inaishia kuiba kura.
 

PUMBA
 
kuna huzi humu unaeleza asili ya hospitali ya muhimbili,mwanzilishi alikua akiitwa sheikh sewa haji.Na mpaka leo kuna wodi inaitwa sewa haji,
lkn pia niliwai kuuliza asili ya wodi nyingine ile ya kibasila pia inafanana na sewa haji hostoria yake,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…