Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Hili ni jukwaa la Historia au ni jukwaa la stori za kihistoria?
Historia ni taaluma kama taaluma zingine,sema tu watu hudhani kila mtu anauelewa wa kutosha kutoa fatua.
Mbona sioni marks of historicity kwenye maelezo yenu?
Kama ni injinia,mkulima,mfanyabiashara,mwanasheria au mtu yoyote usiyejua mambo mengi kuhusu hii taaluma ni vema ukawa unacomment kwa kutaka watu wakupe uelewa zaidi kuliko kutoa fatua wakati ina mislead.
 
kuna huzi humu unaeleza asili ya hospitali ya muhimbili,mwanzilishi alikua akiitwa sheikh sewa haji.Na mpaka leo kuna wodi inaitwa sewa haji,
lkn pia niliwai kuuliza asili ya wodi nyingine ile ya kibasila pia inafanana na sewa haji hostoria yake,,
Mwanzilishi wa hispitali ya muhimbili alikuwa tajiri wa kihindi aliyeitwa sewa hajj paroo.ngoja nitafute picha yake nikuwekee.
 
Write your reply...Ukiristo unakuja East Africa mchana kweupe tunauona ...maswali mengine msituulize humu!!
 
Babu usizuwe uongo usituletee propaganda za kina Karume na Nyerere
 
Waarabu ni wabaya kabisa Kwanza ndio waanzilishi na kudumisha biashara ya utumwa.halafu kule kwao watumwa walihasiwa ili wasizaliane
 

Kuna kisicho cha kigeni Africa? hizo nguo ulizovaa bila ya shaka nazo ni zakigeni achilia mbili mashine unayotumia kupostia humu JF
 

Sasa wewe uliujuaje huo udhalim wao?
 

Ata vibaya hujiskii kwa hizo pumba unazozizungumza ?
 

Unaweza nisaidiaje vipi naweza kukipata hichi kitabu ? The Short History of Zanzibar" by Maulid Mshangama
 
Na Waislam wangefanya kama walivyofanya wazee wenu, ukristo ungekuwa unahadithiwa tu Tanzania.
 
Soma kitabu cha Tip tipp ndo utajua mambo waliyokuwa wakifanya waarabu na mapigano yao na wenyeji, hakuna aliyeleta dini kwa amani pekee
Tuwekee nukuu za hicho kitabu na mwandishi ni nani?
 
Kuna mtu aliwahi kunambia ma Mangi (chifu) wa kichagga vazi lao rasmi lilikuwa ni kanzu na kofia kama Waislam wa mwambao. Ni mpaka sasa?
 
No big deal. Jibu la swali lako ni kwamba inategemea nani Mwandishi wa Historia. Angekuwa Muarabu ndiyo Mwandishi wa Vitabu vya Historia, basi tungesoma West Africa EUROPEAN Slave Trade na huku kwetu ingekuwa East Africa slave trade. Lakini tatizo Muarabu hana la kusema kwenye vitabu vya historia vinavyotumika mashuleni na vyuo hivi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…