Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

Kwa nini tunapenda sana kujishusha kiasi hicho? Nani alisema uwezo wa kiakili upo kwenye ngozi/rangi/race?
 
Kwa nini tunapenda sana kujishusha kiasi hicho? Nani alisema uwezo wa kiakili upo kwenye ngozi/rangi/race?
Mkuu, hatujishushi, Ila kuna kama ka ukweli, hata ukienda USA, Waafrica wa kule ndio wenye maisha Duni kulikoni weupe, acha huko, njoo SA, lingsnisha weupe na wenyeji

Huoni kama kuna kamwelekeo ka ukweli mkuu!

Au fikiri hivi... Rais mzungu aje huku, ni rais yupi huku Africa anauwezo wa kumpandisha kwenye bus wakiwa kwenye msafara wowote ule
 
Mleta mada umeuliza swali la msingi sana.

Ni kwamba Africa haiendelei kwa sababu watu weusi wanapenda UCHAWI sana, kukuthibitishia ebu tafuta wale vijana walokuwa na Passion mbalimbali shuleni uwaulize kama wametimiza ndoto walizokuwa nazo udogoni, hata tuanzie survey hapa Jf.

UCHAWI ni tatizo la msingi kabla ya umaskini, magonjwa na ujinga, sababu uchawi ndio unaleta vyote hivyo vi3 na nashangaa kwann hakuna anayejishughulisha kutokomeza uchawi.
 
Hapa kuna hoja!

Je Waafrica walioko Marekani vipi, maana hata wao, licha ya kukaa ulaya, ni watu masikini ukilinganisha na wazungu. Je, na wao ni walozi,?
 

Mkuu sio mainjinia tu yani hata kwenye mpira wa miguu kocha akiwa mzungu ndo tunaona Safi.
 
Hapa kuna hoja!

Je Waafrica walioko Marekani vipi, maana hata wao, licha ya kukaa ulaya, ni watu masikini ukilinganisha na wazungu. Je, na wao ni walozi,?
Jibu ni ndiyo Mkuu, walioweza kukaa nao mbali ndo hao watu weusi wakagundua GPS, CCTV, Taa za barabarani, hata cm ya mezani, gas mask, akina Philip Emeagwali.

Mkuu hakuna kitu kibaya zaidi ya uchawi katika jamii, ni bora jamii iwe na wahalifu wengine kuliko uchawi. Mchawi ndio muhalifu mbaya kuliko muhalifu yoyote.
 
Kaburu Botha alisha jibu maswali muhimu Sana kuhusu Afrika na ule ndo ukweli mchungu ambao twende mbele turudi nyuma utabaki pale pale
 
Ninafikiri kuna laana somewhere. Kuna mambo tunafanyiana waafrika mpaka unajiuliza sisi ni binadamu kweli au tuseme shetani alitupwa Afrika. Maana matendo ya kishetani ni mengi sana kwetu. Kuanzia uchafu, umasikini, ujinga, kutokujituma, ngono, uchawi, chuki, mauaji na kila siku yanaongezeka. Just imagine mtu kum rape mtoto wake wa miaka miwili inweza kuingia akilini kweli. Anyway, hiki kizazi lazima kitoweke tu hakuna namna maana maovu yamekuwa mengi na Mungu hawezi kuendelea kuvumilia. Ole wetu na watoto wetu maana tunajiangamiza wenyewe.
 
Bongo sisi tunachojua ni unafiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…