Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

Kwa nini tunapenda sana kujishusha kiasi hicho? Nani alisema uwezo wa kiakili upo kwenye ngozi/rangi/race?
Mkuu, hatujishushi, Ila kuna kama ka ukweli, hata ukienda USA, Waafrica wa kule ndio wenye maisha Duni kulikoni weupe, acha huko, njoo SA, lingsnisha weupe na wenyeji

Huoni kama kuna kamwelekeo ka ukweli mkuu!

Au fikiri hivi... Rais mzungu aje huku, ni rais yupi huku Africa anauwezo wa kumpandisha kwenye bus wakiwa kwenye msafara wowote ule
 
Mleta mada umeuliza swali la msingi sana.

Ni kwamba Africa haiendelei kwa sababu watu weusi wanapenda UCHAWI sana, kukuthibitishia ebu tafuta wale vijana walokuwa na Passion mbalimbali shuleni uwaulize kama wametimiza ndoto walizokuwa nazo udogoni, hata tuanzie survey hapa Jf.

UCHAWI ni tatizo la msingi kabla ya umaskini, magonjwa na ujinga, sababu uchawi ndio unaleta vyote hivyo vi3 na nashangaa kwann hakuna anayejishughulisha kutokomeza uchawi.
 
Mleta mada umeuliza swali la msingi sana.

Ni kwamba Africa haiendelei kwa sababu watu weusi wanapenda UCHAWI sana, kukuthibitishia ebu tafuta wale vijana walokuwa na Passion mbalimbali shuleni uwaulize kama wametimiza ndoto walizokuwa nazo udogoni, hata tuanzie survey hapa Jf.

UCHAWI ni tatizo la msingi kabla ya umaskini, magonjwa na ujinga, sababu uchawi ndio unaleta vyote hivyo vi3 na nashangaa kwann hakuna anayejishughulisha kutokomeza uchawi.
Hapa kuna hoja!

Je Waafrica walioko Marekani vipi, maana hata wao, licha ya kukaa ulaya, ni watu masikini ukilinganisha na wazungu. Je, na wao ni walozi,?
 
Kiukweli mkuu ukifikiria ngozi nyeusi unaweza pata presha, just imagine tangu uhuru tunasomesha mainjinia for more than 45 years lakini hatuna kampuni inayoaminika na serikali na kuanza kupewa miradi mikubwa kuitekeleza Kama mainjinia.

Yani hata wataalaam wetu wenyewe hatuwapendi Wala kuwahitaji kuwatumia, uzalendo ni tatizo kuu na sugu Sana kwa nchi zetu, umetoa mfano mzuri wa magari ya pesa nyingi lakini Shule hazina vitabu Wala vyoo.

Tunakopa mabilioni ya fedha kwaajili ya kutengeneza madawati[emoji848] na miti ipo mingi Sana Iringa na njombe, Africa my Africa ni nani aliyekuroga...ukiingia upande wa taaluma malecture ni miungu watu hivyo Elimu kufanywa kuwa ngumu Sana then tutegemee kutoboa kweli?


Mfumo wa upatikanaji wa viongozi upo kimichongo yaani mfano...mkulima au Mwalimu then nikafanya biashara nikapata pesa nikawahonga wajumbe[emoji23] nikapata ubunge Kisha nateuliwa kuwa Waziri wa nishati do you think kwamba nitaleta mageuzi ya nishati nchini?

Yani inshort tunakila wanataaluma Africa lakini hakuna matumizi yao katika kupiga hatua, imagine Dr anafundisha chuo mwaka wa 1O ila anatumia kitabu Cha India kufundisha [emoji119][emoji119][emoji119]. Kiukweli tumewahi Sana kupata Uhuru. Wizi wa rasilimali za umma unafanywa na viongozi wazi wazi na hakuna hatua yoyote, refer Richmond yani inajulikana kabisa wapi zilienda lakini people wapo kitaa wanavimba[emoji23][emoji23] yani Africa siku tukiingia mbinguni tutapita njia yetu ili kula fimbo kwanza maana Kila kitu tunacho lakini umaskini ni mkubwa mnooo.

Daaa ngoja niishie hapa maaana[emoji24]

Mkuu sio mainjinia tu yani hata kwenye mpira wa miguu kocha akiwa mzungu ndo tunaona Safi.
 
Hapa kuna hoja!

Je Waafrica walioko Marekani vipi, maana hata wao, licha ya kukaa ulaya, ni watu masikini ukilinganisha na wazungu. Je, na wao ni walozi,?
Jibu ni ndiyo Mkuu, walioweza kukaa nao mbali ndo hao watu weusi wakagundua GPS, CCTV, Taa za barabarani, hata cm ya mezani, gas mask, akina Philip Emeagwali.

Mkuu hakuna kitu kibaya zaidi ya uchawi katika jamii, ni bora jamii iwe na wahalifu wengine kuliko uchawi. Mchawi ndio muhalifu mbaya kuliko muhalifu yoyote.
 
Kaburu Botha alisha jibu maswali muhimu Sana kuhusu Afrika na ule ndo ukweli mchungu ambao twende mbele turudi nyuma utabaki pale pale
 
Ninafikiri kuna laana somewhere. Kuna mambo tunafanyiana waafrika mpaka unajiuliza sisi ni binadamu kweli au tuseme shetani alitupwa Afrika. Maana matendo ya kishetani ni mengi sana kwetu. Kuanzia uchafu, umasikini, ujinga, kutokujituma, ngono, uchawi, chuki, mauaji na kila siku yanaongezeka. Just imagine mtu kum rape mtoto wake wa miaka miwili inweza kuingia akilini kweli. Anyway, hiki kizazi lazima kitoweke tu hakuna namna maana maovu yamekuwa mengi na Mungu hawezi kuendelea kuvumilia. Ole wetu na watoto wetu maana tunajiangamiza wenyewe.
 
Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu

Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini?

Mbona siamini nikionacho baada ya kufumbua macho na kuona tofauti kubwa iliyopo kati yetu Waafrica na watu weupe hasa wazungu na wayahudi na wanye asili ya Kitahudi huku Africa

Mahali palipo wazungu na wayahudi, hata kusipokuwepo Rasilimali, pataendelea na maisha yatakuwa mazuri!

Mahali palipo waarabu, hata kama patakuwa na rasilimali nyingi, ila hawataacha kujilipua na kuuwa wengine,

Mahali palipo mwafrica, hata kama patakuwa na rasilimali za kutosha, umasikini hautakwisha, watauza rasilimali zote Kwa wazungu na kuanza kuombaomba Kwa haohao wazungu kama watoto wa Kariakoo

Embu, tuchimbueni historia ili tujue sisi ni watu wa asili gani ili tukijua tukamwombe samahani huyu mzazi wetu wa kwanza!

Waafrica, hawaingii madarakani ili kwenda kujibu haja na umasikini wa watu, ispokuwa wanataka wawe viongozi ili wao waondokane na umasikini! Kinyume kabisa na wenzetu wenye ngozi nyeupe!

Tunamatatizo gani sisi?

Tukienda Kwa wazungu, tuko tayari watufanyie watakavyo na tutatii bila shida, lakini ole wake tukirudi kwenye nchi zetu, hatuko tayari kusikiliza na kuzifanyia kazi kero za watu tunaowaongoza
Bongo sisi tunachojua ni unafiki tu
 
Back
Top Bottom