BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Humu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts.
Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces ya mitandao kutokea kwenye maandamano ila sio hawa ma keybord worriors.
Sasa kutana nao uone wanavyo shauri viongozi waitishe maandamano utazania watatokea kumbe hakuna hata mmoja anaweza tokea, hawa hata kule Mahakamani Kisutu hawajawahi onekana kamwe. Sina hakika hata kama zile tonetone walichangia.
Niwakumbushe hakuna mageuzi yalio wahi letwa na keyboard worrior, bali watu wali leta mageuzi wakiwa mguu kwa mhuu filed.
Sasa kama kuna ushauri viongozi wa CDM huingia humu kuchukua ni dhahiri wanapotea.